YOUTH VISION GROUP
Kwa niaba ya kamati tuliyo pewa majukumu ya kusimaimia zoezi
la kufungua account natanguliza SAMAHANI zoezi lime chukua muda mrefu
kukamilika ni kutokana na changamoto tulizokuwa tunakutana nazo.
Habari nzuri ni kwamba tumefanikiwa kufungua account ya
kikundi katika Bank ya NMB
Kwa maelezo zaid tembelea katika email address yako.
Hivyo basi tutakuwa na kikao cha wana chama woote
siku ya Jumapili tarehe 13 december 2015. pale WHITE MARK HOTEL
Agenda za kikao nitawatumia nikiisha kujadiliana na viongozi
wenzangu
Asante.